WASANII WENGI WA TANZANIA WANA UKIMWI :AFUNGUKA MSANII MKUBWA

Admin Updates10 years ago76 Views


Staa
wa Filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kusema kuwa
kuelekea mwisho wa mwaka mastaa wengi wana Ukimwi na mbaya zaidi
wanaambukizana wao kwa wao.

Akizungumza na gazeti
la Ijumaa, Dude alisema kuwa mastaa wazima ni wa kuhesabika na kutaja
sababu kubwa kuwa ni kubadilishana na kuibiana wapenzi bila kuwa na woga
.


“Utakuta Mbongo Fleva ana mtu kwenye Bongo Muvi na Mbongo Muvi
ana mtu kwenye dansi au kwa mamis au hata wacheza mpira, ukitaka kuujua
ukweli tangaza dau kuwapima mastaa uone watakaojitokeza,” alisema Dude.


Aidha,
Dude alisema anavyoona yeye ingeanzishwa kampeni ya mastaa wa Bongo
kupima Ukimwi kwani anawahofia watoto wa kizazi kipya zaidi ambao
wanajikuta wanaingia pabaya na kuzima ndoto zao.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...