Ibrahim Shayo (Ibra Line), alikuwa wa kwanza kufungua pazia la uchukuaji fomu ya kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kupitia CCM Juni, 28 mwaka huu.

Ikumbukwe Licha ya Ibra Line, mwaka 2020 kuongoza kura za maoni Jimbo la Moshi Mjini, mshindi wa pili,ambaye ni Mbunge wa sasa anayemaliza muda wake, Priscus Tarimo, naye ni mfanyabiashara wa hoteli, wamechukua fomu hiyo.

Alifuatiwa na Juma Raibu Meya wa Zamani wa Manispaa ya Moshi.Juma, ambaye ni Meya wa zamani wa Manispaa ya Moshi na Izaack, walifuatana kuchukua fomu hiyo ya kuomba nafasi ya uongozi katika vyombo vya dola, walipotinga Ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kichama ya Moshi Mjini, leo Juni 30, 2025.

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






