Msanii Rose Apata Ajali Mbaya,Amshukuru Mungu Kumnusuru

Masama BlogMATUKIOWASANII7 months ago279 Views

Rose Ndauka Apata Ajali Mbaya

Msanii wa filamu na muziki, Rose Ndauka, amenusurika katika ajali ya gari na kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rose alishiriki picha za gari lililopata ajali huku akiandika ujumbe mfupi uliojaa shukrani:

“Ahsante sana Mungu kwa kutuonekania siku zote .”

Ujumbe huo uliwagusa mashabiki wengi ambao walimiminika kwenye ukurasa wake kumpongeza kwa kutoka salama, huku wakimtia moyo aendelee kuwa imara baada ya tukio hilo.

Rose, ambaye ni miongoni mwa wasanii maarufu nchini, amekuwa akipendwa na mashabiki kwa mchango wake katika filamu na muziki wa Bongo, na tukio hili limeacha wengi wakimtakia afya njema na maisha marefu.

SOMA ZINGINE HAPA

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.