PENNY: USISTA DUU UTATUMALIZA

11 years ago171 Views



ALIYEKUWA mtangazaji
wa kituo cha redio cha Efm, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa
tabia ya baadhi ya wasichana mastaa kujiona masista duu itawamaliza kwa
sababu watajikuta uzee unawakabili bila kuwa na ndoa.


Aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha Efm, Peniel Mungilwa ‘Penny’.



Akizungumza na gazeti hili, Penny alisema mastaa wengi wanapenda kujiona
ni matawi ya juu na kufikia hatua ya kudharau watu wengine kiasi kwamba
hata wenye mapenzi ya dhati kwao hujikuta wakijiweka pembeni hivyo
kuwafanya ‘kuchina’ wakati wakitafuta ndoa.



“Unajua kuna vitabia fulani hivi mastaa tunavyo, ya kisista duu ambayo
inatufanya tuchine, maana wengi si wanatuogopa wakidhani sisi ni matawi
ya juu wakati ni wa kawaida sana,” alisema Penny.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.