kk

Special Correspondent6 years ago54 Views

Mwenyekiti Chama cha Wabunge walio katika Mapambano dhidi ya Rushwa (APNAC) na Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Cpt. George
Mkuchika akifungua warsha kuhusu hali ya utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Mapambano dhidi ya Rushwa iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU), CP Diwani Athumani akiwasilisha maada mbele ya Wajumbe Chama cha Wabunge walio katika Mapambano dhidi ya Rushwa (APNAC) kuhusu hali ya utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Mapambano dhidi ya Rushwa kikao kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

from CCM Blog http://bit.ly/2Jec3J7
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...