WAONE HAWA WANAWAKE MASTAA WA BONGO WAKI-SHOOT VIDEO YA “SIMAMA NAMI”

Admin Updates10 years ago67 Views









Hizi ni baadhi ya picha za baadhi ya wanawake mastaa wa hapa bongo
wakiwa katika utengenezaji wa video ya wimbo wao unaokwenda kwa jina la
Simama Nami ambao wameuimba maalumu kwa ajili ya kukemea mauaji ya
walemavu wa ngozi ‘Albinos’. Baadhi ya mastaa hao, ni pamoja na Kajala,
Shilole,Nisha, Madam Rita, Dida Shaibu, Sauda Mwilima, Anna Peter,
shamsa Ford, Keisha na wengine wengi
“Simama nami piga vita wauwaji wa maalbino pamoja tunaweza”

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...