VIDEO/PICHA: DAVIDO NA WIZKID WAKUTANA USO KWA USO NA KULA BATA PAMOJA CLUB

Admin Updates11 years ago127 Views

Hatimaye
mastaa wa Nigeria Davido na Wizkid wamethibitisha hadharani kuwa sasa
hali ni shwari kati yao, baada ya kukutana uso kwa uso na kuonesheana
upendo kwa kukumbatiana huku kila mmoja akionesha kufurahia kukutana
kwao.


wiz n davido


Wizkid
na Davido wamekutana weekend iliyopita katika Escape night club huko
Ilorin, Nigeria ambapo walikula bata pamoja katika club hiyo.


wiz n davido-2

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.