Mtu wangu kama utakuwa unafuatilia comment za mastaa kwenye post zao katika mitandao ya kijamii utakuwa unaziona comment mbaya na nzuri leo June 2 2016 Diamond Platnumz amezungumza na Ayo TV pamoja na millardayo.com na kuzungumzia ni comment gani hatakuja kuisahau.
‘Siwezi kukumbuka ila ninachokikumbuka nikuwa kuna gazeti lilishamuandika mama angu vibaya ila comment hazijawahi kuniuma‘>>> Diamond Platnumz






