Msanii Diamond Platnumz ambaye ni mmoja wa kiongozi wa Label ya ‘WCB Wasafi’ amefunguka na kuweka wazi sababu kubwa wasanii wa label hiyo kuhusishwa na mahusiano na kiki za mapenzi ni kutokana na ukweli kwamba wamekuwa wakipendwa sana na wanawake
Diamond Platnumz akizungumza katika show ya Friday Night Live #FNL alisema inakuwa ngumu wao kama viongozi kuingilia maisha ya msanii kuhusu mahusiano yake kwani hayo ni maisha ya msanii binafsi bali wao kikubwa wanaangalia utendaji wa kazi na kuakikisha wanaleta kazi nzuri kwa jamii, na kusema wanatambua kuwa wanapendwa sana na watoto wa kike.
“Sisi tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa sababu kwanza tunabahati ya kupendwa na tunajua hilo, hivyo msanii anapokuwa amezimiwa na mtu hatuwezi kumkataza kwani sisi kazi yetu ni kusimamia kazi za msanii na muziki wake na si kumsimamia msanii kwenye maisha yake ya mapenzi, maana ukimkataza msanii kutoka na mtu anayempenda ipo siku atajiongeza kwa mkeo pia. Lakini sisi tunajitahidi kufanya kazi kwa bidii sana tulete ngoma kali, video kali na show kali kwani ndiyo vitu vinavyofanya watu watukubali” alisema Diamond Platnumz
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





