SUPER STAR WA BONGO ACHARUKA KWA UJIO WA PSQURE TANZANIA ROUND HII

Admin Updates11 years ago20 Views

   Jackline Walper

Msanii maarufu muigizaji tanzania maarufu  kwa jina la Jackline walper
afunguka kuhusu ujio wa wasanii wa muziku wakubwa duniani Psqure
 tanzania kwenye show ilio andaliwa na kituo kikubwa cha tv EATV  ambayo
imetangazwa na kituo hicho kuwa itafanyika tarehe 23.11.2013 yakuwa
atasitisha    


kazi zake zote ikiwemo kwenda kushoot night scene ya movie yake mpya
kwakuwa yeye anahisi ndie shabiki mkubwa sana wa psgure akiwa kama
 katika mastaa,.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...