Bale anaweza kuendelea kupokea maneno yasiyo ridhisha kwa kumbadili
Mesut Ozil katika klabu ya Real Madrid baada ya wauzaji wakubwa wa jezi
za soka mtandaoni UKSoccershop.com kuthibitisha kwamba mauzo ya jezi za
nyota mpya wa Arsenal yameyazidi yale ya Bale kwa kiwango kikubwa.
Madrid
tayari wamekuwa katika hali ngumukwa kumruhusu Ozil kuondoka kwa ada ya
uhamisho ambayo walilipa kwa Bale – hivyo kumfanya mchezaji huyo wa
Wales kuwa mchezaji ghali zaidi duniani kwa ada ya uhamisho wa
£86million.
Presha
kubwa sasa ipo kwa Bale kuelekea mchezo wake wa kwanza na Real Madrid
wikiendi ijayo, huku sasa namba za mauzo ya jezi zikionyesha kwamba ni
mchezaji aliyembadili ndani ya kikosi cha Carlo Ancelotti ambaye
ameshika usukani kwa kuuza jezi nyingi.
wa UKSoccershop.com
Simon Pretswell alisema: ‘Ukiachana na masuala ya uwanjani, sehemu
kubwa ya uhamisho ghali duniani huwa umetaliwa na sababu za kibiashara
zinazokuja na ukubwa wa mchezaji husika.’
‘Katika kesi ya Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na mastaa wengine wa zamani kama
David Beckham, hawa walileta fedha nyingi kwa klabu kwa mauzo ya jezi kupanda kwa kiasi kikubwa.’
Gareth
Bale ameshindwa kuleta mauzo makubwa ya jezi kama ilivyo kwa Mesut Ozil
na Neymar walipohamia kwenye vilabu vyao vipya katika dirisha hili la
usajili.’
‘Kipaji
cha Bale hakina mashaka, lakini hajawahi kuwa mmoja ya wauzaji wakubwa
wa jezi katika premier league, huku mashabiki wakivutiwa zaidi na jezi
za Wayne Rooney, Robin van Persie, Steven Gerrard na even Fernando
Torres.’
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









