Inaelezwa kuwa klabu ya Simba imefikia makubaliano ya Kimaandishi na kocha wa singida black stars Miguel Gamondi kama Kocha Mkuu wa @simbasctanzania ..
Gamondi kwa sasa anafanya utaratibu wa kumalizana na @singidablackstars ili baada ya michuano ya AFCON kumalizika moja kwa moja atajiunga na @simbasctanzania na tayari Gamondi amewaeleza baadhi ya wachezaji wa Simba waliopo Timu ya Taifa .
Lakini pia Mchambuzi @hansrafael14 amesema kuwa baada ya kuondoka kwa Fadlu Simba walikuwa katika hatua za Mwisho kumpata Gamondi na kwa bahati mbaya dili hilo likavuja kabla ya kusaini…
Mwigulu Nchemba“Umaskini Nimeuishi Miaka 32,Nakuja na Fekeo na Rato”
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






