
Rais Dk. John Magufuli akitoa mkono wa pole kwa mjane wa marehemu Dk. Mengi, Jacquiline Mengi, na watoto mapacha wa marehemu Dk. Mengi, alipoongoza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni za IPP Limited marehemu Dkt. Reginald Abraham Mengi kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumanne Mei 7, 2019. Picha zaidi za kuaga mwili wa Marehemu Dk. Mengi/Bofya HAPA
from CCM Blog http://bit.ly/2VqvncR
via






