PICHA KUTOKA BUNGE LA KATIBA HII LEO

Admin Updates11 years ago15 Views

Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Askofu Mkuu Mstaafu, Dr. Donald Mtetemela
 (kushoto) na Spika wa Bunge, Anne Makinda wakiteta Bungeni mjini Dodoma
Aprili 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5293
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba  na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akiapa
Mabele ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu (kushoto),
Bungeni Mjini Dodoma.
PG4A5332
Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba, Waziri Mkuu, Msaafu, Edward Lowassa  na Joshua Nasari  wakiteta, Bungeni mjini Dodoma.
PG4A5364
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa (kulia) na
Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Ibrahim Lipumba wakiteta, Bungeni mjini
Dodoma Aprili 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu).

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...