MSANII TUNDAMANI AINGIA KWENYE BIFU NA MSANII DOGO ASLAY…CHANZO CHA BIFU HILO HILI HAPA!!!!

11 years ago130 Views

Msanii
Tunda Man kutoka Tip Top connection inasemakana kwamba ana mahusiano ya
kimapenzi na msichana ambaye aliwahi kuwa na uhusiano na msanii wa
Yamoto Band, Dogo Aslay ambapo anajulikana kwa jina Najma


Mtangazaji
wa Soudy Brown kutoka Clods Fm alimtafuta Tunda ambaye alikanusha
mahasiano yake na mrembo huyo na wakati akifanya mahojiano hayo
alilalamika kwamba jana usiku aliibiwa vitu kadhaa katika gari yake
aliyokuwa amepaki nje ya nyumba yake



0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.