MSANII SHAMSA: SIJUTII KUACHANA NA MUME WANGU..MSIKIE ZAIDI HAPA

11 years ago114 Views

Shamsa: Sijutii Kuachana na Mume Wangu



 Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa Ford amesema kamwe hatajutia kitendo cha kuachana na  mumewe, Dickson.


Akiongea
na gazeti la Amani Shamsa alisema kuwa kipindi chote  wakati yupo
kwenye uhusiano na mumewe huyo waliefunga naye ndo ya kimilia alikuwa
akiteseka  na kupata shuruba nyingi japo hakuwa tayari kuziweka
hadharani.

“Sijutii kuachana na mume wangu, nimepitia mateso mengi, sikotayari kurudi japokuwa nina motto naye” Shamsa alisema.

Kwa
sasa inadaiwa Shamsa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego
ambaye  naye aliachana na mchumba wake ,Siwema hivi karubuni.


Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.