MKUU WA TAKWIMU ZA BEI ZANZIBAR ATOA TAKWIMU ZA BEI

Special Correspondent6 years ago47 Views

 Meneja Uchumi wa Benki kuu ya Tanzania tawi la Zanzibar Moto Ng’winganele Lugobi(kulia)akijibu baadhi ya maswali yalioulizwa katika Mkutano wa Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.8 kwa Mwaka uliomalizia March 2019 hadi asilimia 2.9 kwa mwaka uliomalizia April 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar.
 Mkuu wa Takwimu za Bei katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar Khamis Abdul-rahman Msham akitoa takwimu za bei kwa waandishi wa Habari mbapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.8 kwa Mwaka uliomalizia March 2019 hadi asilimia 2.9 kwa mwaka uliomalizia April 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar.
-Meneja Msaidizi Idara ya Uchumi Benki ya Tanzania (BOT)Deogratias Macha akifafanua baadhi ya maswali yalioulizwa katika Mkutano wa Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.8 kwa Mwaka uliomalizia March 2019 hadi asilimia 2.9 kwa mwaka uliomalizia April 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar.
 Mwandishi wa Habari wa ZCTV Malik Shahran akiuliza maswali katika Mkutano wa Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.8 kwa Mwaka uliomalizia March 2019 hadi asilimia 2.9 kwa mwaka uliomalizia April 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar.
 Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.8 kwa Mwaka uliomalizia March 2019 hadi asilimia 2.9 kwa mwaka uliomalizia April 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar.
 Mwandishi wa Habari wa TBC Swaumu Mwavura akiuliza maswali katika Mkutano wa Waandishi wa Habari kuhusiana na Takwimu za Bei ambapo imeonekana kupanda kutoka Asilimia 2.8 kwa Mwaka uliomalizia March 2019 hadi asilimia 2.9 kwa mwaka uliomalizia April 2019 hafla iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini mjini Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2PNcqLa
via

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...