LIVERPOOL FC watakipiga na TOTTENHAM pale kwenye uwanja wa Estadio Metropolitan tarehe 1 Juni 2019 kwenye fainali ya Champions League.
Wakenya wawili, DIVOCK ORIGI wa LIVERPOOL na VICTOR WANYAMA wa TOTTENHAM wanatarajiwa kushuka dimbani siku hiyo.
JALUO ORIGI baba yake ni JALUO la Kenya likiitwa MIKE OKOTH ambalo pia lilikuwa chezaji hodari hadi kuchezea Harambee stars na baadae lilisepa na kuhamia Ubelgiji. ORIGI alitupia kambani mabao 2 kati ya 4 ya WATAALAM LIVERPOOL FC dhidi ya WACHOVU Barcelona.
JALUO WANYAMA ambalo ni kapteni wa Harambee stars lilitoa msaada mkubwa kwa TOTTENHAM dimba la kati hadi kuifurumusha AJAX.
Kwa kuweza kuingia fainali za Champions Lg, MAJALUO haya mawili yamefuata nyayo za JALUO mwenzao MACDONALD MARIGA aliyeingia fainali akichezea INTER MILAN ya Italy ambayo ilitwaa ndoo ya CL mwaka 2010 ilipokuwa ikifundishwa na JOSE MOURINHO.
It is an all Kenyan affair in the CL Final!!
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2Hds9jZ
via