Kijana akimbeba mteja wake kwa gharama ya Sh. 100 akimvusha kutoka upande wa Magameni eneo la Jangwani kuelekea K/koo
Dereva wa guta akiwavusha abiria wake eneo la Jangwani Dar es Salaam leo Mei 7. 2019 kwa Sh. 500 kwakila abiria
Dereva wa guta akiwavusha abiria wake eneo la Jangwani Dar es Salaam leo Mei 7. 2019 kwa Sh. 500 kwakila abiria
Dereva wa guta akiwavusha abiria wake eneo la Jangwani Dar es Salaam leo Mei 7. 2019 kwa Sh. 500 kwakila abiria kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha
Baadhi ya madereva wa magari ya mwendokasi wakiwa nje ya magari yao. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
from CCM Blog http://bit.ly/2H2NOtP
via