KUDADADEKI:BAADA YA KIMYA KIREFU CHEKI ALICHOFANYA MSANII AKON 2015….NI SHEEDAH

11 years ago118 Views

mic



Hitmaker wa nyimbo ya ‘Mama Africa‘, Akon ni mmoja ya mastaa walioweka mikakati yao ya mwaka 2015 kile ambacho watakifanya kwa mashabiki wao.


Mwaka 2008 ilikuwa ni mwaka wa mwisho kwa Akon kutoa album na mkakati wake mwaka huu ni kuachia album tano zitakazobeba jina moja la ‘Stadium’ kwa wakati mmoja ili kuziba pengo la kukaa muda mrefu bila kutoa nyimbo.


stadium


Akon alitweet na
kuelezea kuwa amekuja na nguvu mpya na atatoa album tano kali ambazo
kila moja itakuwa na aina tofauti za vionjo pamoja na kuwashirikisha
mastaa mbalimbali.


Baadhi ya nyimbo zenye vionjo tofauti zitakazokua kwenye albam yake hiyo yenye sehemu tano ni ‘Better’ (feat. Niko the Kid), ‘Just a Man’ (feat. Stephen Marley) na ‘Feeling a Nikka’ (feat. D’Banj).

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.