Hii inamfanya awe HAPPY kwakweli.. wapo walioshangaa pia kwamba yani kweli Tuzo hii inaenda kwa Pharell..?
Staa huyo wa muziki alikuwa kwenye Headlines ya story ambazo hazikuwa
poa sana ndani ya mwezi huu kutokana na ishu ya kushtakiwa na kukutwa na
hatia ya kukopi wimbo waMarvin Gaye.
Nyingine ambayo huenda hujaipata ni ishu ya Pharell Williams kutajwa kuwa ndiye mwanamuziki aliyeshinda CFDA Fashion Icon Awards ambapo ushindi huo unatokana na jinsi style yake imekuwa maarufu na kushawishi watu wengi duniani.
Pharell atapewa
Tuzo hiyo June 1 2015, lakini toka jina lake limetajwa kama mshindi
mitandao imeendelea kuandika na kuuchambua huu ushindi wa Pharell.. wapo walioandika eti kawa mshindi kwa sababu ya ile kofia ambayo anapendelea kuvaa!
Tuzo hiyo June 1 2015, lakini toka jina lake limetajwa kama mshindi
mitandao imeendelea kuandika na kuuchambua huu ushindi wa Pharell.. wapo walioandika eti kawa mshindi kwa sababu ya ile kofia ambayo anapendelea kuvaa!
Mastaa wengine waliowahi kushinda Tuzo hii ni pamoja na Rihanna na Lady Gaga.
Unaweza kuniandikia comment yako mtu wangu, eti Pharell anastahili hii Tuzo kutokana na kuvaa kwake?
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







