JAMANI JAMANI..HEBU ONA WEMA SEPETU AKIENDELEA KUWAPA HAMASA WANAWAKE,CHUKUA HII KUTOKA KWAKE

11 years ago115 Views


Wema Sepetu

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Wema Sepetu  mwenye followers zaidi ya
laki nne kwenye mtandao wa Instagram kwa siku za hivi karibuni
ameonyesha njia kwa mastaa na watu wengine baada ya kuamua kuanza
kuposti  jumbe mabalimbali zenye manufaa kwa jamii na sio majungu ambayo
hayana faida yoyote, Wema amekua akiachia jumbe hizo na  huku akitumia
tag mbili za BeWemaFanyaWema na 2015WalkToRemember.

Amekuwa akiandika vingi kuhamasisha wanawake kwenye kujitafutia
maendeleo huu ni muendelezo tu. Baada ya hivi juzi kuwa balozi na
kuzindua gari mpya ya kampuni ya Mitsubishi ASX alibandika hii.

“Mwanamke simama imara. Usipojiamini mwenyewe atakuamini nani? Hamna kisichowezekana!”

Huu ni mfano mzuri sana Madam tupo nyuma yako.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.