
Hivi karibuni, Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds
FM, Millard Ayo, wamepata shavu la kutangaza gari jipya la kampuni ya
Mitsubishi aina ya ASX.
Kwenye tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.






