Balozi Dkt.Ulisubisya Mpoki akimkabidhi Dkt.Albert Ulimali cheti cha mafuzo ya kutoa huduma za dawa ya usingizi na ganzi yaliyofanyika kwenye hoteli ya Peacock jijini Dar es salaam.
Balozi Dkt.Ulisubisya Mpoki akifunga Mkutano wa wataalamu wa kutoa huduma za dawa ya usingizi na ganzi iliyofanyika kwenye hoteli ya Peacock jijini Dar es salaam.

Baadhi ya wataalamu wa kutoa huduma za dawa ya usingizi na ganzi wakiwa kwenye mkutano uliofanyika katika hoteli ya Peacock jijini Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2V2svh0
via