HATI YA MUUNGANO YAWASILISHWA BUNGENI

Admin Updates11 years ago5 Views

Makamu mwenyekiti wa bunge maalum la katiba, Samia Suluhu Hassan
amesema amepokea hati ya makubaliano ya muungano wa Tanganyika na
Zanzibar iliyothibitishwa kisheria.
 

Hati hiyo imefikishwa bungeni hapo baada ya mjumbe wa bunge hilo,
Tundu Lissu kuomba hati hiyo ioneshwe hadharani siku mbili zilizopita.
 

Waziri wa nchi ofisi ya rais, Stephen Wasirra alieleza kuwa ametimiza
ahadi yake aliyoitoa awali kuwa hati hiyo ingefikishwa bungeni ndani ya
siku mbili.

 

Katika hatua nyingine, wajumbe wa bunge hilo maalum la katiba leo
wameendelea na majadiliano kuhusu sura ya kwanza na ya sita ya rasimu ya
katiba huku suala la muundo wa serikali za muungano likichukua nafasi
kubwa.


0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.