STAA mkongwe wa filamu Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ ameongeza listi ya
mastaa ambao wameathirika na ugonjwa wa dengu (Dengue Fever).
mastaa ambao wameathirika na ugonjwa wa dengu (Dengue Fever).
Akipiga stori na mwandishi wetu, Natasha alisema tangu Rais Jakaya
Kikwete aingie madarakani, hajawahi kuugua hata homa lakini kwa mara ya
kwanza mwaka huu homa ya dengu imemlaza.
Kikwete aingie madarakani, hajawahi kuugua hata homa lakini kwa mara ya
kwanza mwaka huu homa ya dengu imemlaza.
“Nilianza kusikia baridi kali sana kisha nikawa naishiwa nguvu na
mishipa inakakamaa, nilihisi naaga dunia kiukweli lakini niliwahi kwenda
hospitali, nimepata tiba, nimeruhusiwa na ninaendelea vizuri,” alisema
Natasha.
mishipa inakakamaa, nilihisi naaga dunia kiukweli lakini niliwahi kwenda
hospitali, nimepata tiba, nimeruhusiwa na ninaendelea vizuri,” alisema
Natasha.
Miongoni mwa mastaa ambao wameumwa ugonjwa huo ambao hauna tiba ya
moja kwa moja ni Rehema Chalamila ‘Ray C’, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ na
Miss Afrika Mashariki namba 2, 2008, Aneth John.
moja kwa moja ni Rehema Chalamila ‘Ray C’, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ na
Miss Afrika Mashariki namba 2, 2008, Aneth John.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33