MDADA ALIYEKWAMBIA KUJUA KUZUNGUSHA KIUNO NDO TIKETI YA KUPATA NDOA KAKUDANGANYA.. MCHEKI HUYU HAPAA

Admin Updates10 years ago5 Views



Kila mwanamke anavitu vyake alivyojiwekea, ambavyo anataka mwanaume wa
ndoto zake awe navyo. Ikitokea akampata Mwenye hivyo vitu basi huona
kamaliza kila kitu, anajisahau, anafurahia vile anavyoviona kwa nje na
kitandani, badala aanze kumsoma huyo Mwanaume. Kama ni husband material.

Wanawake ndio wanaongoza kwa kulizwa Sana kwenye mahusiano kuliko
wanaume, kwasababu mwanamke akishampata mwanaume aliyekuwa anamtaka basi
atampenda kwa kila kitu, moyo na mwili wake wote kwa haraka wakati yeye
mwanaume hakupi vyote anakuangalia kwanza mpaka atakapoona kweli ndio
kitu anachokitaka ndio ataanza kukupenda kwa ukweli sasa. Lakini akiona
hakuna kitu atakuchukulia poa poa na baadaye anakupotezea, sasa wewe
uliyekufa na kuoza lazima upate ugonjwa wa moyo.

Mwanamke usiende kwenye mahusiano kwa kuangalia picha ya nje, anza
kwanza kumwangalia Kama anaweza kuwa Mume na je unampenda kweli,
ukijihakikishia hapo anza kuwa wife material msaidie mwanaume hata kwa
mawazo tu sio unakaa tu kazi yako wewe ni kuzungusha kiuno tu.

Inatakiwa ukiingia kwenye maisha ya mwanaume mwenyewe anakiri hakuna
mwanamke Kama wewe. Unambadilisha hata Kama hakuwa muoaji ajue umuhimu
wa mke na kutaka kukuoa.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.