HABARI PICHA: Rais Mstaafu Kikwete alivyowasili SGR Dar kuelekea Dodoma

Admin Updates3 months ago6 Views

Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na mwanaye Miraji Jakaya Kikwete wakiwasili kwenye kituo cha Treni ya Mwendokasi SGR Jijini Dar es Salaam wakati alipouwa anaelekea Jijini Dodoma kwenye Maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi yaliyofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri  jijini Dodoma wiki iliyopita,Wengine waliomsindikiza Rais huyo wa awamu ya nne na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM ni Bw.Masanja Kadogosa ambaye ni Mkurugenzi mkuu  wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) pamoja na maafisa wengine wa Chama Cha Mapinduzi.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.