Mwanafunzi Ajinyonga Mpaka Kufariki Dunia Baada ya Kupata Division Zero Matokeo Form 4

Admin Updates3 months ago7 Views

 Mwanafunzi Ajinyonga Mpaka Kufariki Dunia Baada ya Kupata Division Zero Matokeo Form 4

Binti aliyefahamika kwa Jina la Rabia Poul (19) Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Nyanza Mkazi wa Mtaa wa Barabara ya Msalala Manispaa ya Geita amefariki Dunia kwa kujinyonga February 11 Mwaka huu.

Akizungumza na Millardayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akisema chanzo cha kifo cha Mwanafunzi huyo ni kufeli Mtihani wa Kidato cha Nne.

“ Binti amejinyonga hadi kufa na tukio hili limetokea siku ya tarehe 11 mwezi wa pili 2025 na chanzo cha tukio hili Mwanafunzi huyo kugundua kwamba amefeli kidato cha nne kwa kupata Division 0 , “ SACP. Jongo.

Aidha SACP. Jongo ametoa wito kwa Wazazi na Wlezi kuwajua Watoto wao na kuwalea katika maadili ya kumpendeza Mwenyezi mungu huku akisema kuna baadhi ya Watoto wana vipaji wasizuiwe na waachwe kutokana labda wamefeli isiwe kigezo cha kukaripia Watoto.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.