Mbunge wa Busega Dkt Raphael Chegeni akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dk.AshaRose Migiro mara baada ya kufanya mazungumzo na watanzania wanaokaa na kufanya kazi Uingereza katika fani mbalimbali za afya na biashara.
Watanzania hao wamekubali kupitia umoja wao kuunga jitihada za Rais Dk.John Magufuli katika kusaidia upatikanaji wa vifaa muhimu vya kisasa, kuchangia fedha na watalaam wa afya ili kuboresha huduma za afya nchini.
Watanzania hao wamepongeza jitihada za serikali ya awamu ya tano katika ujenzi na uboreshaji wa huduma za afya mijini na vijijini ambapo serikali imekuwa ikijenga Hospitali, vituo vya afya na Zahanati katika kila Kata.
Mbunge wa Busega, Dk. Raphael Chegeni akizungumza na Baadhi ya maofisa wa Ubolozi wa Tanzania nchini Uingereza. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dk.AshaRose Migiro.
Picha ya pamoja
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2IXQLzj
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33










