WAIGIZAJI BONDI, AUNTY LULU WAPASHANA NA KUPEANA VIDONGO WAZI WAZI..WATUPIANA MATUSI

11 years ago124 Views


Anti Lulu na Mr Bond Enzi za Mapenzi yao

Mastaa wa Bongo Movies  na watangazaji waliowahi kuwa wapenzi, Bondi Bin
Suleiman na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ hivi karibuni walipashana baada
ya kila mmoja kumdhihaki mwenzake kuwa hana kazi anayofanya mjini.

Bondi alisema kitu kikubwa anachokifanya Aunty Lulu ni kubadilisha
wanaume ndiyo sababu ya kushindwa kuendelea na kazi yake ya utangazaji
na filamu, akiishia kudanganya kuwa yeye ni mjasiriamali.

Lakini Aunty Lulu naye alijibu tuhuma hizo akisema mwandani wake huyo wa
zamani atakuwa anatafuta kitu kutoka kwake, kwani kama ni kazi, hata
yeye mwenyewe hana anachokifanya mjini zaidi ya kuuza sura kwani kama
anaringia utangazaji, yeye ndiye alimtafutia kazi hiyo.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.