JOKATE AFUNGUKA UPYA ‘HASHIM THABIT MTAMU KULIKO WANAUME WOTE BONGO …DIAMOND NDIO HAMNA KITU KABISAA’

11 years ago112 Views



Jokate na Hasheem thabit
Miss
Tanzania Namba 2 Mwaka 2006, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti amesema
kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia
Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo
..Akizungumza na Gazeti la Kiu , Kidoti amesema kwa sababu ambazo

amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu
Adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja…..Kuhusu Diamond Ambae pia amewahi
kutoka nae Kidoti amesema hakuenjoy nae kwani yalikuwa mapenzi ya muda
mchache sana.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.