Unaambiwa Simba Wanamkosa Mchezaji Kama Guede na Okrah, Wangefunga Magoli Mengi Sana

2 years ago123 Views

 

Matokeo ya Mechi ya Leo ASFC
FULL TIME: Yanga SC 5-0 Polisi Tanzania
⚽️ Joseph Guede
⚽️ Joseph Guede
⚽️ Farid Musa
⚽️ Mzize
⚽️ Shekhani
Ukiangalia Simba wanamkosa mshambuliaji ambaye anaweza kutumia vizuri mipira ya juu kwani wamekuwa Wakitengeneza nafasi nyingi lakini hazitumiwi.
Simba wamgekuwa na Guede wana magoli mengi kutokana na kutengeneza nafasi nyingi za mipira ya juu.
Kingine wanachokikosa Simba ni Combination ya Wachezaji kama Okrah & Guede….Ndiyo kwanza wameanza kuuwasha motoo.🙌🏻

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.