Sherehe za Birthday nazo zina uzito wake siku hizi, unaambiwa dancer mkali Mose Iyoboambaye ni mmoja wa dancers wa Diamond Platnumz alifanya party yake August 02 2015, wakaalikwa mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza sana.
Aunty Ezekiel ni mzazi mwenzake na Mose Iyobo, kwa pamoja walikutana na marafiki zao na kushereheka party hiyo… kwenye list ya mastaa waliotokea alikuwepo pia Diamond Platnumz na crew nzima ya WCB wakatoa na burudani ya nguvu kabisa.
Hapa ni Aunty Ezekiel, Mose Iyobo na Diamond Platnumz.
Diamond Platnumz na Maimartha
Diamond anapiga chabo hiyo keki inavyoliwa yani !!
Martin Kadinda na Mose kwenye keki.
Shamsa Ford
Mwigizaji JB.
Diamond Platnumz nae akapita kwenye keki.
TID akimpongeza Mose Iyobo.
Hii ndio time ambayo kila mtu alisimama kucheza sankoro.
Birthday Boy hakupishana na maji aisee !!