MWANAMUZIKI LINAH SANGA AJA NA MPYA BAADA YA KUPORWA BWANA NA WEMA, SASA KUMTANGAZA BWANA AKE MPYA MNIGERIA..ATOA ONYO

10 years ago139 Views

LINAH SANGA ATOA KALI.. ATOA MAKAVU
LIVE, ASEMA WEZI WA MABWANA ZAKE
WAJIPANGE NA KWA MNIGERIA WAKE…
Linah amesema anatarajia kumtangaza rasmi
mpenzi wake mpya ambaye amedai ni msanii
mkubwa wa nchini Nigeria.
Linah
Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha
East Africa Radio, Linah alisema anampenda
mpenzi wake huyo mpya na kwamba siku
ikifika,
ataamua kumweka wazi ili mashabiki
wamtambue.
“ Uhusiano wangu mpya ni wa msanii mkubwa
sana, yaani huyo nampenda na hii sio project
ipo
real, mtamuona tu bado wakati,a hizi ni
dondoo,
wa Nigeria, ” alisema Linah.
Kweli? Itajulikana tu. ila wale wezi wa
mabwana za watu wajipange upya…
JE, UNADHANI LINAH KWANINI KAFUNGUKA
KWA UZITO NAMNA HYO?
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.