- Home
-
- MPYAA:Timu ya Singida Fountain Gate Yafukuza Kocha na Wasaidizi wake wote
MPYAA:Timu ya Singida Fountain Gate Yafukuza Kocha na Wasaidizi wake wote
Uongozi wa Singida Fountain Gate umefikia uamuzi wa Kuvunja benchi lote la ufundi Kocha na wasaidizi wake lililokuwa likiongozwa na Kocha Thabo Senong kufuatia matokeo mabaya
Hadi sasa Singida Fountain Gate imecheza mechi 19 na ina alama 21 , huku hivi karibuni wakiwa na mfululizo wa kupokea vichapo
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News