- Home
-
- MPYAA: Mlinzi wa Kulia wa Yanga SC, Djuma Shabani Amejiunga na TP Mazembe
MPYAA: Mlinzi wa Kulia wa Yanga SC, Djuma Shabani Amejiunga na TP Mazembe
Mlinzi wa Kulia Djuma Shabani amejiunga na Tp Mazembe ya nyumbani kwao DR Congo, ndoa ya Yanga SC na Djuma Shabani imevunjika bado taarifa tu .
Djuma hadi anasaini TP Mazemve hakukuwa na timu ya hapa nyumbani iliyokuwa na mahitaji na huduma yake kikubwa kikichangiwa na Kima cha mshahara wake kuwa kikubwa, kwa hivyo timu nyingi zimeogopa
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News