Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika maeneo mengi hapa jijini Dar es Salaam na mkoa wa Pwani kutokana na Mvua kubwa iliyonyesha jana, ambapo barabara nyingi za Dar zilijaa maji hali iliyosababisha baadhi ya magari kuharibika na pia kusabaisa foleni kubwa ya magari,lakini pia inaonesha mitaro mingi ya kupitisha maji machafu kati kati ya jiji imeziba,hali inayochangia pia kutuama kwa maji.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Limezima anasubiriwa fundi
Gari likiwa limehariika katikati ya barabara ya Kilwa kata ya Mandege mkoa wa Pwani.
Kama ionekanavyo pichani hapa wananchi wakisukuma gari baada ya kukwama kwenye matope kufuatia Mvua zilizoanza kunyesha wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2LoM43s
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33













