MASTAA WEMA NA PENNY KUFANYA MOVIE PAMOJA SASA..!!ITAKUWA NI SHEEDAH

Admin Updates10 years ago16 Views

 
Walikuwa marafiki wa damu, wakaja kuwa maadui.. na sasa ni marafiki
tena. Baada ya kupatanishwa kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Junaithar siku
kadhaa zilizopita, Wema Sepetu na Penny Mungilwa wameendelea
kuuimarisha zaidi urafiki wao.
Penny ameshare
picha kwenye Instagram akiwa pamoja na Miss Tanzania huyo wa zamani
ambayo Wema pia ameirepost kwenye akaunti yake. Hiyo ni picha ya kwanza
ya warembo hao wakiwa pamoja kuwahi kuweka kwenye akaunti zao katika
kipindi kirefu.

Wakiongea kwa pamoja na Bongo5 leo wakifanya
shopping ya nguo, warembo hao wamedai kuwa wana mipango ya kufanya
filamu pamoja na wanatarajia kuingia kambini mwakani.

Picha hiyo imepokelewa kwa furaha kubwa na mashabiki wao wanaopenda kuwaona wakiwa pamoja.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...