Msaniiwa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha akiwa na mwanae.“Mimi ni mama bora,
ndiyo maana nimekuwa nikiulizwa na vyombo mbalimbali vya habari kama
nina mtoto nilikuwa nakataa kwa sababu sitaki kumkuza mwanangu kupitia
media, ni bora akishakua mwenyewe atajitangaza kupitia kazi zake,
sikupenda kumwanika kwenye vyombo vya habari kwa sababu siyo maadili
mema,”alisema Nisha.
MASTAA wana mambo! Baada ya kukataa kwa muda mrefu kwamba hajawahi
kuzaa, msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amemwanika mwanaye
anayejulikana kwa jina la Iptysam Othman ‘Angel’ mwenye umri wa miaka
10.
kuzaa, msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amemwanika mwanaye
anayejulikana kwa jina la Iptysam Othman ‘Angel’ mwenye umri wa miaka
10.
Salma
Jabu ‘Nisha akiwa kwenye pozi.Hata hivyo alikana kwa nguvu zote madai
kwamba ana watoto wawili, akisisitiza kuwa anaye mmoja tu na hakutaka
kumweka wazi kwa vile aliamini hali ile ingemuathiri kisaikolojia,
ingawa hakufafanua.

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33