Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwasili kutoa pole na kuwafariji wafiwa nyumbani kwa marehemu Dkt Reginald Mengi Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Mwili wa Marehemu Dkt .Mengi unatarajiwa kuwasili kesho Jumatatu saa nane Mchana Katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere.