Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Albert Chalamila akizungumza na wauguzi na Wananchi(hawapo pichani) wakati akizindua rasmi maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani katika Viwanja vya hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya ambapo maadhimisho hayo huadhimishwa kila mwaka Mei 12.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Albert Chalamila (kulia ) akisikiliza maelezo ya Afisa Muuguzi msaidizi kutokakitengo cha CTC care and treatment centre Mariam Muhanjimu Mara baada ya kutembelea bando hilo wakati wa uzinduzi wa Siku ya Wauguzi duniani ambayo inatafanyika Mei 12.
Sehemu ya Wananchi wa Mkoa wa Mbeya walioshiriki katika uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani katika viwanja vya hospitali ya Kanda ya Mkoa wa Mbeya ambapo maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka Mei 12.
Sehemu ya wauguzi kutoka Hospital ya Kanda ya Mkoa wa Mbeya walioshiriki katika uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani katika viwanja vya hospitali ya Kanda ya Mkoa wa Mbeya ambapo maadhimisho hayo hufanyika kila mwaka Mei 12.
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2E0ZZa6
via