IRINE UWOYA AFUNGUKA: ASEMA SIOGOPI MANENO YA WATU, ILA MWACHENI MWANANGU.. MSIKIE HAPA

10 years ago129 Views


Kufuatia kitendo cha baadhi ya mashabiki kuwashambulia mastaa kwenye
kurasa zao mitandaoni kushamili, Staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya
ameibuka na kuweka angalizo hili kwa followers wake.

Mamboz! Nataka niulize swali hivi kunamtu nilimlazimisha kuni follow au
ni kwa mapenz tuuu? sasa kwanini mtu anataka kuchukua jukumu la mzazi
wangu kujifanya anajua sana maisha yangu wakati toka nizaliwe hajawahi
kuninunulia ata pipiii!!!

Sasa ni hivi kusemwa mimi siogopi na matus pia siogopi kabisa coz
nimeanza kusemwa toka nipo tumboniii!!! Ila naomba sanaaa mwanangu awe
pembeni hausiki ata kidogo tena naomba sanaaa fanyeni yote lakin
mwanangu chondechondeee!!!

Wewe unaesema na nyota ya mchanga ni kweli ujakosea kwasababu mchanga
unadhamani kubwa sana ndomana ukizikwa lazima uwekewe mchanga!

Sasa ambaye anaona amekuja huku ili anitukanie mwanangu naomba atoke
haraka staki kuwa nawatu wengi wanafiki nibora kuwa na wachache wenye
mapenzi ya kweli na ukikosea wanakwambia kuliko kuwa na wengi kazi yao
umbea na majunguuu!!!

STAKI kama unajijua ni mmoja wao fanya usepeee!!!!!

Nadhani ameeleweka, tubadilike jamani

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.