HII NDIO SABABU ILIYOMFANYA ZARI KUKIMBIA BONGO JUZI

Admin Updates10 years ago106 Views

Na Musa Mateja  
ISHU
ya uchawi kwa wanawake wajawazito ndilo suala kubwa linaloingia kwenye
hisia za baadhi ya watu hasa mimba inapokuwa changa, hofu hiyo sasa
imemwingia mwandani wa Mbongo-Fleva anayeuza zaidi kwa sasa, Nasibu
Abdul ‘Diamond Platnumz’,  Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’
ambaye anadaiwa kuikimbia Bongo kwa muda ili mimba yake isije
kuchoropoka kama ilivyokuwa kwa akina Wema Sepetu na Penniel Mungilwa
‘Penny’.


Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, akiwa na mpenzi wake  Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’.


TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini
ambacho ni mtu wa karibu wa familia ya Diamond, hivi karibuni Zari
aliondoka Bongo mara tu baada ya kurejea kutoka Zanzibar walikokuwa
wameenda kula bata katika Msimu wa Valentine.
Chanzo hicho kilidai
kwamba, wakati staa huyo mwenye maskani yake Afrika Kusini na Uganda
akiwa Bongo maneno mengi yalisemwa na wengine kudiriki kuwapigia simu
watu wa familia hiyo wakimtaka Zari aache tabia ya kujionesha na
ujauzito wake kwani hawajui Wabongo vizuri.


Wakifanya yao.


NYUMBANI KWA MAMA D
Ilidaiwa kwamba mmoja wa
watu waliokuwa wakiambiwa ishu hiyo alimfikishia moja kwa moja Zari
aliyekuwa akipika na kupakua nyumbani kwa mama Diamond ‘D’, Sanura
Kassim ‘Sandra’ maeneo ya Sinza-Mori, Dar.

Habari zilidai kwamba,
Zari aliposikia maneno hayo aliamua kuondoka huku Diamond akisapoti
uamuzi wa mpenzi wake kwa asilimia mia.


 
HOFU YATANDA
“Alipomwambia Diamond kwamba anaondoka kwa hofu ya mambo ya ushirikina,
jamaa alimuunga mkono na kumsisitiza kutulia kabisa maana majanga kama
hayo Bongo huwa ni ya kawaida na yalishawahi kumtokea kwa Wema na Penny
ambao walishika ujauzito na ulitoka bila kujua sababu za msingi.


“Kweli
Zari amekimbia Bongo, baada ya kuona watu wanamfuatafuata kila kukicha,
si unajua Wabongo huwa hawaishiwi maneno? Zari amemtaka Diamond
wakaishi Sauz.
 
“Watu wamekuwa wakisema vibaya juu ya uhusiano wake
na Diamond, hasa kipindi alipokuwa Zanzibar, hivyo baada ya kurudi tu
aliamua kwenda zake South (Afrika Kusini) ili akajipumzikie wasije
wakampagawisha mimba yake ikatoka bure. 

“Nafikiri mwenyewe unajua
namna Zari alivyokuwa maarufu Bongo tangu awe na Diamond hivyo siku hizi
kila anachokifanya utaona wanavyomtolea macho na wengi wao hawaishi
kuudisi ujauzito wake.


Msanii wa filamu, Wema Sepetu.


YASIJE YAKAWA YA WEMA NA PENNY
 
“Maana wanasema
eti hawezi kuzaa na Diamond, kuepuka maneno kaamua kujiondokea zake
wasije wakamloga bure akashindwa kweli kuzaa na ndugu yetu kama
ilivyoshindikanika kwa Wema na Penny,” kilisema chanzo chetu.


Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platinumz, Penny Mungilwa.


TUJIUNGE NA DIAMOND

Baada ya kujazwa ‘ubuyu’ huo, mwanahabari wetu alimsaka Diamond ili
athibitishe kama kweli kilichochangia Zari kuondoka harakaharaka Bongo
ni kwa sababu ya kuogopa ushirikina ili mimba yake isichoropoke kama
inavyosemwa, jambo ambalo Diamond aliishia kuguna huku mdogomdogo
akifafanua.
 
“Ujue Wabongo wana maneno sana na mara nyingine huwa wanalazimisha uongee hata vitu ambavyo havipo.
“Mimi sina mtoto na natamani sana siku moja niwe naye hivyo ninapokuwa
na mtu naye anaonesha hali ya kunisapoti na nia moja ya kunipa mtoto,
sina budi pia kumheshimu kwa uamuzi wake.

“Ninachoamini mimi ni katika Mungu tu, yote wanayosema ipo siku
yatapata majibu maana Zari Kiswahili hajui vizuri hivyo tunaepuka sana
watu kumtumia umbeya na kumtafsiria vitu vingi ambavyo si sahihi,”
alisema Diamond…….ENDELEA HAPA>>>

With all the negativity that goes on about our continent, nothing
pleases me than seeing an African woman who is seriously offending
society’s chauvinistic bureaucracy and dares to realize her dreams,
while empowering others. One of the reasons I decided to start a regular
feature on female Moguls in Africa is that I wanted to inspire fellow
young African women by showing them that every goal is attainable.Zari
is of mixed Burundian, Somalia, and Indian heritage, holds Ugandan
citizenship and lives in South Africa. She is a serious money maker who
owns several businesses across the African continent including jewellery
stores, real estate and colleges. One of the reasons why I absolutely
love her is that she also gives back to the disadvantaged.

32 year old Zari is a mother of three boys and is married to business
tycoon Ivan. She is fashionista of note and a lover of cars and shoes.
Any woman who can juggle several successful businesses, motherhood,
marriage and looks ever so sassy while doing it deserves a salute.Ten
Things You Never Knew About The Bosslady
Zarinah Hassan known by her stage name as Zari is a Ugandan Musician
based in South Africa where she lives with her husband Ivan and their
three lovely sons Pinto, Didy and Quincy. She is an entrepreneur in
South Africa where she owns a tertiary college and cosmetics shop. With
her Zari All White Champagne Party slated for 21st April, we thought
this would be the best time to bring you ten facts you never knew about
Uganda’s top showbiz star.

BOFYA HAPA CHINI KATIKA HII PICHA KUONA VIDEO ZA MATUKIO TOFAUTI KATI
YA DIAMOND NA MPENZI WAKE ZARI WAKIWA CHUMBANI>>>>

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.