.Tumeshazoea
kuona baadhi ya mastaa wa Afrika wanapoweka video zao kwenye youtube
wanapata views nyingi ndani ya siku chache lakini Good news time hii
imeangukia kwa mkali wa Tanzania.
Mmiliki
wa hit single ya ‘Mdogo Mdogo’ Diamond Platnumz ameipiku video ya
wakali wa Nigeria P Square baada ya kupata views nyingi ndani ya siku
nne.
Video
ya P Square ‘Shekini’ iliyowekwa youtube Nov 17 ina views 286,165
huku Diamond ambaye video yake ‘Nitampata Wapi’ iliyoweka Nov 20 ina
views 354,910.