HII KALI SANA..MSIKIE JINSI SUPER STAR WEMA SEPETU ALIVYOTAMANI KUZAA NA DIAMOND PLATINUMS

10 years ago137 Views


Wema Sepetu.
Diamond Platnumz na Wema Sepetu ni mastaa ambao wanaongelewa sana na kila kukicha wanatengeneza Headlines katika magazeti ya Tanzania.


Katika Kipindi cha TAKE ONE cha Zamaradi, Wema Sepetu kafunguka namna ambavyo alitamani kuzaa na Diamond Platnumz.
Wema Sepetu amesema:”Nilikuwa natamani siku moja kupata mtoto na Diamond(Naseeb) kwa sababu i told you he was my man ambae nimetokea kumpenda tu hivyo, its done lakini ukweli upo and am not fake and nilikuwa natamani sana that is what i wanted, and tumehangaika wote, yeye anajua the hustle and nimehangaika sio mahospitalini, nimehangaika sio kwa madawa haya ya mitishamba sijui nikisikia Dokta nani, sijaenda kwa several doktas kwa sababu nimeshakata tamaa people telling me am stilling too young kukata tamaa but kwa sababu ya zile hustles nyingi nimechoka” 
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.