
Akizungumza katika hafla hiyo, Harmonize amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu sababu za kuahirisha ndoto yake ya kuingia kwenye siasa na kugombea ubunge.
“Labda kuna Mwanga wa Uongozi ndani yangu ambacho Sio kitu kibaya kusaidia jamii lakini Nina majukumu mengi sana kufanya Kwenye Muziki Sababu kuwa mtumishi unatakiwa uwe dedicated Muda wote” Harmonize
“Kampeni zinanafasi yake Siwezi kupinga lakini mwisho wa siku Muziki wetu wa Bongofleva una nafasi yake na unategemea kuhudimia bara la Afrika na maeneo tofauti tofauti sio kila nchi iko Kwenye uchaguzi ukifocus na Kampeni na uchaguzi inaweza kukutolea focus ya nje”
SOMA HII: Je Akili Bandia(AI) ni Nini? Inafanyaje Kazi? Soma hapa






