Akili mnemba ya jumla (kwa Kiingereza; Artificial General Intelligence au AGI kwa kifupi) ni tafiti za kinadharia ya akili mnemba inayojaribu kuunda programu ya kompyuta yenye utashi wa kibinadamu na zaidi, yenye uwezo wa kujifundisha yenyewe. Lengo la tafiti hii ni kuunda programu ya kompyuta yenye uwezo wa kufanya kazi ambazo haikufundishwa wala kuundwa kwa ajili ya kazi hizo.
Mifumo ya sasa ya akili bandia hufanya kazi chini ya mipaka iliyowekwa na waundaji wake, mfano, mfumo wa akili bandia wa kutambua au kuunda picha hauwezi kutengeneza wavuti.
Akili bandia ya jumla ni harakati ya kuunda mfumo wa akili bandia unaoweza kujiongoza, unaojitambua na wenye uwezo wa kujifunza ujuzi mpya. Wenye uwezo wa kutatua matatizo magumu katika mazingira na muktadha ambao haikufundishwa wakati wa uumbaji wake.
INGIA HAPA UJIFUNZE ZAIDI JINSI YA KUTUMIA AI TUMIA ===>> Masama Blog AI
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






