CHEKI HII COLLABO YA MAFIKIZOLO, DIAMOND NA MASTAA WENGINE AFRICA… ‘TELL EVERYBODY’ (VIDEO)

Admin Updates9 years ago8 Views

Good news mtu wangu, ile collabo ya kundi la Mafikizolo kutoka South Africa na mtu wetu Diamond Platnumz imetoka!
‘Tell Everybody’ ndio njia la wimbo, na ni wimbo ambao ni sehemu ya project ya Umoja wa Mataifa iitwayo UN Sustainable Development Goals (SDGs) yenye dhamira ya kupambana kutokomeza umasikini, kurekebisha tabia nchi na kuhamasisha usawakufikia mwaka 2030.
global3

Diamond Platnumz.
Wimbo huu umeshirikisha pia wasanii kutoka nchi nyingine za Kiafrika, wapo wakina Yemi Alade kutoka Nigeria, Sauti Sol kutoka KenyaToofan kutoka TogoBecca naSarkodie kutoka Ghana na Diamond Platnumz ndiye staa aliyewakilisha +255 Tanzaniapamoja na Mafikizolo kutoka South Africa!
Kuna mchanganyiko pia wa lugha mbalimbali ikiwemo Kiingereza, Kifaransa, Kiswahilina Kizulu... kizuri zaidi ni kwamba kila verse utakayoisikia kwenye wimbo huu basi ujue imeandikwa na msanii mwenyewe!
Hapa ninazo baadhi ya picha za wasanii walioshiriki kufanikisha hii project mtu wangu…
global2

Becca Kutoka Ghana
global3

Diamond Platnumz, Tanzania.
global5

Mafikizolo na wasanii wengine.
global6

Diamond Platnumz na wasanii wengine.
global7

Mafikizolo, South Africa.
global8

Nhlanhla Nciza wa Mafikizolo.
global10

Theo wa Mafikizolo.
global11

Yemi Alade, Nigeria.
Kama bado hujabahatika kukutana na video ya ‘Tell Everybody’ karibu uitazame hapa chini…
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...