Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amesema kuanzia Februari 22, 2025 biashara zitafanyika kwa saa 24 katika mkoa huo.
Akizungumza leo na wahabari Chalamila amesema “katika kuelekea kufungua zaidi mkoa wa Dar Es Salaam tumekubaliana kwamba Dar Es Salaam sasa ianze kufanya kazi kibiashara saa 24 na kwa mantiki hiyo tarehe 22 ya mwezi wa pili ya mwaka 2025 itakuwa ndiyo siku maalum ya kuzindua utaratibu huu”
Chalamila ameongeza kuwa awali utaratibu huo ulipaswa kuanza Februari 08, 2025 lakini imebidi kusogeza mbele kutokana na baadhi ya maeneo hayajawekwa taa.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







